stori za bongo

  • Home
  • MAPENZI
  • VICHEKESHO
  • PICHA AMAIZING
  • AFYA

Tuesday, January 5, 2016

THAMANI YA MAPENZI YAKO KWA MPENZI WAKO YAKISHUKA LAZIMA UTAAMBIWA MAENENO HAYA....YAJUE MAPEMA

 Unknown     11:45 AM     mahaba, mapenzi, MTOSO     No comments   


UNAWEZA kuambiwa maneno mengi sana kutoka kwa mpenzi wako, mazuri na mabaya lakini yapo ambayo yanatoa taswira isiyo nzuri. Jambo la msingi ni kuwa makini kupambanua.
Pointi ya msingi hapa ni lugha zenye ishara mbaya kwa wapenzi. Umewahi kujiuliza kuhusu hili? Umewahi kutafakari juu ya kauli chafu anazotoa mpenzi wako dhidi yako?
Kauli za maudhi, kashfa na hata matusi wakati mwingine, wewe unazichukuliaje? Rafiki zangu, kauli ya mtu inaweza kukutoa gizani na kugundua ukweli uliopo ndani yake, lakini kama hutakuwa makini, unaweza kuchukulia kama utani na kuuacha ukweli uendelee, mwisho unakuja kushtuka, umeshaachwa!
Hapa nimekuandalia kauli zenye ishara mbaya ya penzi lako. Ukiona moja kati ya kauli zifuatazo, basi kuwa na mashaka, kisha fanyia kazi, utagundua ukweli.


AKIKUAMBIA HUVUTII!
Kati ya kauli mbaya zaidi katika uhusiano ni pale mpenzi wako atakapokuambia huna mvuto! Haijalishi amekuambia akiwa katika hali gani; utani au akimaanisha, lakini neno hilo si zuri kuambiwa na mpenzi wako.Kuambiwa huvutii, katika mapenzi ni tusi kubwa. Nini maana ya mvuto basi? Nani umvutie? Ni wapita njia? Ofisini? Sokoni? Ana maana gani hasa?
Siku zote mvuto ni kwa ajili ya mpenzi wako, ndiyo maana mkawa katika uhusiano, hii inamaanisha ulimvutia ndiyo sababu akakukubali. Kukuambia huvutii si utani, ni kweli haoni mvuto na inawezekana penzi limeshachuja.
Inawezekana akawa anafanya mzaha, kama ndivyo, atasoma ulivyopokea, akiona umekasirika atarekebisha usemi wake haraka, kama ni vinginevyo ataendelea kushikilia msimamo wake, hata kama ni kwa utani, lakini atakuwa anakufikishia ujumbe wako kwamba huna mvuto, kwa maneno mengine humvutii, humfai; kwa hiyo muachane. Kuna nini tena hapo? Akili kichwani mwako.
ETI HUPENDEZI!
Hii ni kauli nyingine mbaya. Unapoambiwa: “Hujapendeza kabisa, yaani huna uwezo wa kupangilia nguo, kila siku unachemsha!” Ujue kuna hatari hapo, angalia mara mbili uhusiano wenu.
Kuambiwa hujapendeza kunashusha thamani yako na kuonekana huna ujanja wa kufanya uchaguzi mzuri wa mavazi. Huenda ni kweli hujapendeza, lakini hilo si la kubeza.


Anatakiwa kukuambia kwa upole namna ambavyo unatakiwa kuvaa na kuonekana nadhifu. Kwa maneno mengine, kukuambia hujapendeza ni kama anakusuta, hakukubali na unamuaibisha!
Bado kuna mengi ya kujifunza zaidi lakini kutokana na ufinyu wa nafasi yangu, naomba niweke kituo kikubwa hapa, wiki ijayo tutaendelea, USIKOSE!


>>BOFYA HAPA KUJUA MBINU KABAMBE ZAKUMFANYA MWANAMKE AKUTAFUTE KWA GARAMA YOYOTE<<
Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

JE WAJUA TIBA YA KUSAGIKA NA KUOZA KWA MENO KWA WATOTO WADOGO?BOFYA HAPA KUJUZWA.

 Unknown     11:37 AM     afya, MENO, TIBA, WATOTO WADOGO     No comments   


Watafiti wengi wameshindwa kubainisha dhahiri nini usababisha mtu kutafuna au kuuma meno usiku ili inahusishwa sana na minyoo, maambukizi katika meno na masikio, hasira na msongo wa mawazo kwa yaliyotokea siku nzima, mgangilio mbovu wa meno. 
Hii utokea mara nyingi kwa watoto na uweza kusabisha maumivu makali ya taya, kichwa na kuharibika kwa mpangilio wa meno.
 NINI CHA KUFANYA.
Wasiliana na wataalamu wa afya na magonjwa ya meno ili kutibu uwezekano wa kuwepo kwa maambukizi ya minyoo au mfumo wa chakula na upumuaji
Mpunguzie mwanao hasira na mawazo kabla ya kulala kwa kumfanyia vitu vinavyomfurahisha, kumuogesha, kumkanda, kumwimbia nyimbo nzuri, na kumnyoosha misuli.
Mpe chakula bora na maji mengi kwani kuishiwa na maji mwili pia umsababishia maumivu yanayosababisha kusaga meno usiku.
Usimpe vyakula vyenye caffeine kama Kola, Chokoleti, na kahawa kabla ya kulala.
Mzuie kutafuna karamu au vitu vingine wakati mara nyingi wakati wa mchana kwani itajenga mazoea ya kutafna tafna ovyo usiku.


>>JE UNAJUA FAIDA ZA KUNYWA MAZIWA KILA SIKU?BOFYA HAPA UZIJUE FAIDA HIZO<<
Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

Friday, November 20, 2015

JE WAJUA NAMNA YAKUMRIDHISHWA MPENZI WAKO PINDI MKIWEPO KATIKA HALI YAKUFANYA TENDO LA NDOA..BOFYA HAPA KUPATA MAUJUZI

 Unknown     4:44 PM     afya, habari, KINGA, lifestyle, mambo yakuzingatia katika mapenzi, mapenzi, NGONO, TENDO LA NDOA     No comments   



Bila kukosea hakuna jinsia ambayo hainamapungufu yake katika swala zima la mapenzi,udhaifu huu au kasoro hizi mara nying huambatana na maumbile tofauti tofauti kwa jinsi tulivyoumbwa.Tunatofautiana sana na toufi hii iko kwa kila mtu kua,watu wengi huwa wananjia zao au ufundi wao katika kuyanogesha mapenz pindi wakiwapo katika eneo husika.Maranyingi wanaume hupenda kujiumiza na kutumia nguvu nying za kiume wakiwa nafanya mapenzi ya kujichua(PUNYETO),punyeto ikizidi ndo inamadhara lakini unaruhusiwa angalau mara moja kwa wiki 1 mpka wiki 2.Wanawake nao hupenda kufnya mapenzi ya jinsia moja(kusagana),madhara yake ni kukosa kupata hamu yaku fanya mapenz na mwanaume na pia hua inaathiri sana kisaikolojia na kufnya mwanamke akose haki yake ya msingi ya kufanya mapenz na mwanaume.Kama tulivyosema hapo awali  kua,katika swala zima lakumuandaa mwanamke au mwanamme katika tendo la ndoa  inategemea na jinsi gani ulivyo mtundu na mjanja wakumrdhisha mtu hata kama mmepisha kiumri,size ya viungo vyenu vya siri nk.Kuna vitu vyakuzngatia kabla yakufanya mapenzi na wakati pia ukiwa unafnya,vitu hvyo ni:-
KWA MWANAMKE(kumlegeza);
1.Raha ya mapenzi ni uwe unafnya mahali mkiwa free bila gasia wa fujo zozote
2.Hakikisha una kinga pale inapobidi ili kujikinga na mmaradhii maana dunia ya sasa haiaminiki tena kama hapo awali.
3.Hakikisha mazingira yakufanyia ni masafi na kusiwe na vitu ambavyo vinaweza kumgasi mwanamke au mwaname vikampelekea kukosa stimu yakuendelea kufnya mapenz.
4.Mwanamke awe msafi sehemu zote ili hata kama unataka kuzama chumvini kusiwe na kikwazo cha harufu yoyote.
Vitu vyakufanya sasa;-
1.Shika maziwa yake taratbu na sio kwanguvu ukamuumiza....nyonya chuchu zake kwa ukimi tena taratbu sana na kwa hisia
2.Vidole kuvichezesha ndani ya mskio au kupitisha ulimi na kuuchezesha ndani ya maskio
3.Kidole cha mwisho cha mkono kiwe bize sana na kutomasa shingo kwa upande wa nyma na pembeni..uku kikishuka taratiiibu kabsa na mstari wa mgongo mpaka kiunoni au pia unaweza kutumia ulimi kufnya hivi.
4.Unaweza kumpitishia vidole nyuma ya goti katika mkunjo wa mguu..
5.Kama n msafi cheza na kisimi chake kwa kutumia ulimi na maranyingine fanya kama unakifyonzea ndani ya mdomo wako..
6.Chezea uchi wake na vidole.
7.Penda kumtia hamu na kumnyonya denda mara nyingi pindi mfanyapo tendo hilo.
8.Jaribu kumsifia kwa kumpa maneno mazuri.mfano(yeye ni mtamu,hujawai kupata utamu kama wake,ana utamu wa tofauti,unampenda,hutakaa umuache,hutamani kuzikosa raha zake nk)

KWA WANAUME
1.Kifua na kuchezea maziwa yake..
2.Tomasa taratbu uume na kushkashka makorodani uku ukimuangalia machoni kimahaba.
3.Penda kugusisha maziwa yako ww mwanamek na kifua cha huyo mwanamme unaefnya nae mapenz.
4.Nyonya maziwa yake kwa ulimi.
5.Nyonya uume wake na makorodani yake uku unimuangalia machoni kimahaba.
6.Onyesha sura ya kufurahia tendo hilo
7.Maneno matamu kua yeye ni mwanamme wa pekee,anajua kukaza vizuri,uume wake kwako ni kama uhai uukosapo basi huna hali..nk.
8.Uweunajitahidi kujikunja style nying nying ili kumnogesha zaidi.

TUTAENDLEA SIKU NYINGINE HAPA HAPA ..UNAWEZA PIA KUTUTEMBELEA FACEBOOK KWENYE PAGE YETU INSTAGRAM.

AHSANTE SANA
Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

VUNJA MBAVU NA PICHA KALI ZA VICHEKESHO ZA LEO...

 Unknown     4:25 PM     komedi, photos     2 comments   










Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

JE WAJUA SIRI YA MAKALIO KWA MWANAMKE?IJUE HAPA

 Unknown     4:23 PM     mapenzi, stori za bongo, stori za mapenzi     No comments   


Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...  
Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote ni CONFIDENCE...Mwanaume anapoangalia Sifa za nani anapaswa kuwa ubavu wake anaangalia kwanza Sifa Hii...Utashangaa wenzio wote wanawezaje na wewe unashindwa nini,Jibu ndio hilo!

Makalio Makubwa bila Confidence ni sawa na Al Shabaab bila Silaha...Inashangaza mwanamke na akili zake anapoteza muda,anajivunia Shape,''Oh nimebarikiwa,Nimejazia,Nna shape ya Ukwee' wakati kichwani zero ana akili za moto kama uji wa ulezi.

Hayo Makalio zaidi ya kukalia makochi yangu na kuyazeesha Mapema kwa uzito usio na Maana kuna lipi la zaidi yataniongezea kwenye maisha yangu Labda kama nna mpango wa kufungua bendi ya Baikoko nyumbani kwangu.

Only Cheap girls hukazana kuonyesha jinsi gani Makalio ni dili na kuyatumia kama Kigezo cha kukamata Wanaume Cheap.Mwanaume anayekuwa moved na Mwanamke mwenye Makalio makubwa kama Kigezo pekee lazima akili yake ina ujauzito wa miezi 10 na lazima azae Kibwengo.

A Confident woman is an Asset, An Ass-oriented woman is an asshole!...Umeshawahi kujiuliza kwanini kila wakipiga picha wanaposti Facebook huku wameguza Makalio yao??They are Cheap Girls hunting for CHEAP MEN...Be A Different Woman...Be Confident.


Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

JE WAJUA NIGERIA NDO NCHI INAYOONGOZA KWA FASHION NZURI ZA NGUO NAKUONGEZA MVUTO KWA MVAAJI WAKIKE?CHEKI HAPA FASHION ADIMU

 Unknown     4:21 PM     fashion, photos     No comments   


Screenshot_2014-07-28-16-19-44-1

Screenshot_2014-07-28-16-21-27-1

Screenshot_2014-07-28-16-19-06-1

Screenshot_2014-07-28-16-22-33-1

Screenshot_2014-07-28-16-19-28-1

Screenshot_2014-07-28-16-21-46-1

Screenshot_2014-07-28-16-20-32-1

PRESS HERE
Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

JE WAMJUA MTU MWEMBAMBA KULIKO WOTE DUNIANI?..CHEKI PICHA ZAKE HAPA

 Unknown     4:20 PM     mtu mwembamba     No comments   






Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Older Posts Home

Popular Posts

  • HIZI NDIO VUNJA MBAVU ZETU KALI ZA LEO.
    Hi kulikua na baba alikua anaishi na biniti yake,sikumoja binti akaja na boyfriend wake usiku ,baba alipokua kwa chumba chake akasikia yu...
  • VUNJA MBAVU NA PICHA KALI ZA VICHEKESHO ZA LEO...
  • JE WAJUA SIRI YA MAKALIO KWA MWANAMKE?IJUE HAPA
    Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...   Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote ni CON...
  • JE WAJUA NAMNA YAKUMRIDHISHWA MPENZI WAKO PINDI MKIWEPO KATIKA HALI YAKUFANYA TENDO LA NDOA..BOFYA HAPA KUPATA MAUJUZI
    Bila kukosea hakuna jinsia ambayo hainamapungufu yake katika swala zima la mapenzi,udhaifu huu au kasoro hizi mara nying huambatana na ...
  • THAMANI YA MAPENZI YAKO KWA MPENZI WAKO YAKISHUKA LAZIMA UTAAMBIWA MAENENO HAYA....YAJUE MAPEMA
    UNAWEZA  kuambiwa maneno mengi sana kutoka kwa mpenzi wako, mazuri na mabaya lakini yapo ambayo yanatoa taswira isiyo nzuri. Jambo la m...
  • JE WAMJUA MTU MWEMBAMBA KULIKO WOTE DUNIANI?..CHEKI PICHA ZAKE HAPA
  • JE WAJUA MADHARA YA VIATU VYENYE ......... KWA MWANAMKE?BOFYA HAPA KUDODOSWA MENGI
    Kulingana na utafiti wa kitaalamu, mwanamke wa kawaida ana uwezo wa kutembea wastani wa hatua 10,000 kwa siku. Visigino virefu hufanya ngu...
  • JE WAJUA TIBA YA KUSAGIKA NA KUOZA KWA MENO KWA WATOTO WADOGO?BOFYA HAPA KUJUZWA.
    Watafiti wengi wameshindwa kubainisha dhahiri nini usababisha mtu kutafuna au kuuma meno usiku ili inahusishwa sana na minyoo, maambukiz...
  • JE WAJUA NIGERIA NDO NCHI INAYOONGOZA KWA FASHION NZURI ZA NGUO NAKUONGEZA MVUTO KWA MVAAJI WAKIKE?CHEKI HAPA FASHION ADIMU
    PRESS HERE
  • 5 TIPS ON HOW TO TREAT A WOMAN ON A DATE
    Women are hard to impress! Yes truly women are very hard to impress and satisfy. It is really an achievement if a guy can get the comp...

Pages

  • Home

Copyright © stori za bongo | Powered by STORI ZA BONGO
Design by STORI ZA BONGO | Blogger Theme by STORI ZA BONGO | Distributed By STORI ZA BONGO