stori za bongo

  • Home
  • MAPENZI
  • VICHEKESHO
  • PICHA AMAIZING
  • AFYA

Friday, November 20, 2015

HIZI NDIO VUNJA MBAVU ZETU KALI ZA LEO.

 Unknown     4:18 PM     KANTANGAZE, komedi, VICHEKESHO     No comments   


Hi kulikua na baba alikua anaishi na biniti yake,sikumoja binti akaja na boyfriend wake usiku ,baba alipokua kwa chumba chake akasikia yule bfrnd akimwambia binti please sitaingiza yote nita ingiza KICHWA pekeyake,baba aliposikia hivo akamwambia binti yake mwanangu usikubali anakudanganya hainamabega itaingia yote.

Watoto baada ya kumaliza michezo yao,kila mtoto anachukua kilicho chake na kwenda kwao. anabaki mtoto mmoja akilia kwa majonzi, ikabidi aulizwe na majibu yalikuwa hivi (nimeibiwa viatu vyangu), akaambiwa amuachie mungu kwani yatakwisha. akajibu(siwezi kumuachia mungu kwani zilikuwa ndogo hivyo yeye haviwezi kumtosha)

Wezi wa Mifugo waliiba ng"ombe kwa Mmasai kisha wakamfunga Mmaasai Uchi kwenye Mti ucku kucha Asubuhi Majirani wakamuona na kumpa pole akasema sisikitikii Ng\'ombe Wangu kuibiwa bali huyu Ndama waliemuacha alikuja kuninyonya .......... yangu usiku kucha akidhani ni ziwa la Mama yake hapa nipo hoi kanipigisha mabao 6 mili nsima inamaumifuu makali....sheee.

Kuna kaka mmoja alimchukua dada mmoja na kwenda nae katika kioksi kwa ajili ya mazungumzo. Walipofika na kukaa tu katika viti yule kaka akamuuliza yule dada, “unatumia whatsapp”, yule dada akajibu  , “ndio natumia sana za baridi, nimeachana na bavaria siku hizi..”

Sikia huyu Baba anamuuliza mtoto
wake, "Eti,ukiwa mkubwa utapenda ufanye kazi gani???
Mtoto,"Napenda sana udaktari"
Baba: "Kwanini???
Mtoto: "Kwasababu ndio kazi pekee unayoweza kumuamuru mke wa mtu avue nguo na
akavua... na ukamshika sehemu yoyote hadi sehemu za siri na bado mume wake anakulipa
pesaa.. Baba... hoi wodi namba 11.
BABA NA MWANAE.
BABA: mwanangu kwenye huu mtihani uliofanya natumaini utafanya vizuri.
DOGO: ndio baba nitapata mia kwa mia.
BABA: kwanini unasema hivyo?.
DOGO: kwasababu jana kanisani tulifundishwa "Yesu ni jibu" kwahiyo kote nimejaza Yesu.
BABA: kwel kazi ipo 



KWA VICHEKESHO ZAIDI BOFYA HAPA
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Popular Posts

  • HIZI NDIO VUNJA MBAVU ZETU KALI ZA LEO.
    Hi kulikua na baba alikua anaishi na biniti yake,sikumoja binti akaja na boyfriend wake usiku ,baba alipokua kwa chumba chake akasikia yu...
  • VUNJA MBAVU NA PICHA KALI ZA VICHEKESHO ZA LEO...
  • JE WAJUA SIRI YA MAKALIO KWA MWANAMKE?IJUE HAPA
    Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...   Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote ni CON...
  • JE WAJUA NAMNA YAKUMRIDHISHWA MPENZI WAKO PINDI MKIWEPO KATIKA HALI YAKUFANYA TENDO LA NDOA..BOFYA HAPA KUPATA MAUJUZI
    Bila kukosea hakuna jinsia ambayo hainamapungufu yake katika swala zima la mapenzi,udhaifu huu au kasoro hizi mara nying huambatana na ...
  • THAMANI YA MAPENZI YAKO KWA MPENZI WAKO YAKISHUKA LAZIMA UTAAMBIWA MAENENO HAYA....YAJUE MAPEMA
    UNAWEZA  kuambiwa maneno mengi sana kutoka kwa mpenzi wako, mazuri na mabaya lakini yapo ambayo yanatoa taswira isiyo nzuri. Jambo la m...
  • JE WAMJUA MTU MWEMBAMBA KULIKO WOTE DUNIANI?..CHEKI PICHA ZAKE HAPA
  • JE WAJUA MADHARA YA VIATU VYENYE ......... KWA MWANAMKE?BOFYA HAPA KUDODOSWA MENGI
    Kulingana na utafiti wa kitaalamu, mwanamke wa kawaida ana uwezo wa kutembea wastani wa hatua 10,000 kwa siku. Visigino virefu hufanya ngu...
  • JE WAJUA TIBA YA KUSAGIKA NA KUOZA KWA MENO KWA WATOTO WADOGO?BOFYA HAPA KUJUZWA.
    Watafiti wengi wameshindwa kubainisha dhahiri nini usababisha mtu kutafuna au kuuma meno usiku ili inahusishwa sana na minyoo, maambukiz...
  • JE WAJUA NIGERIA NDO NCHI INAYOONGOZA KWA FASHION NZURI ZA NGUO NAKUONGEZA MVUTO KWA MVAAJI WAKIKE?CHEKI HAPA FASHION ADIMU
    PRESS HERE
  • 5 TIPS ON HOW TO TREAT A WOMAN ON A DATE
    Women are hard to impress! Yes truly women are very hard to impress and satisfy. It is really an achievement if a guy can get the comp...

Pages

  • Home

Copyright © stori za bongo | Powered by STORI ZA BONGO
Design by STORI ZA BONGO | Blogger Theme by STORI ZA BONGO | Distributed By STORI ZA BONGO