stori za bongo

  • Home
  • MAPENZI
  • VICHEKESHO
  • PICHA AMAIZING
  • AFYA

Friday, November 20, 2015

JE WAJUA SIRI YA MAKALIO KWA MWANAMKE?IJUE HAPA

 Unknown     4:23 PM     mapenzi, stori za bongo, stori za mapenzi     No comments   


Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...  
Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote ni CONFIDENCE...Mwanaume anapoangalia Sifa za nani anapaswa kuwa ubavu wake anaangalia kwanza Sifa Hii...Utashangaa wenzio wote wanawezaje na wewe unashindwa nini,Jibu ndio hilo!

Makalio Makubwa bila Confidence ni sawa na Al Shabaab bila Silaha...Inashangaza mwanamke na akili zake anapoteza muda,anajivunia Shape,''Oh nimebarikiwa,Nimejazia,Nna shape ya Ukwee' wakati kichwani zero ana akili za moto kama uji wa ulezi.

Hayo Makalio zaidi ya kukalia makochi yangu na kuyazeesha Mapema kwa uzito usio na Maana kuna lipi la zaidi yataniongezea kwenye maisha yangu Labda kama nna mpango wa kufungua bendi ya Baikoko nyumbani kwangu.

Only Cheap girls hukazana kuonyesha jinsi gani Makalio ni dili na kuyatumia kama Kigezo cha kukamata Wanaume Cheap.Mwanaume anayekuwa moved na Mwanamke mwenye Makalio makubwa kama Kigezo pekee lazima akili yake ina ujauzito wa miezi 10 na lazima azae Kibwengo.

A Confident woman is an Asset, An Ass-oriented woman is an asshole!...Umeshawahi kujiuliza kwanini kila wakipiga picha wanaposti Facebook huku wameguza Makalio yao??They are Cheap Girls hunting for CHEAP MEN...Be A Different Woman...Be Confident.


  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Popular Posts

  • HIZI NDIO VUNJA MBAVU ZETU KALI ZA LEO.
    Hi kulikua na baba alikua anaishi na biniti yake,sikumoja binti akaja na boyfriend wake usiku ,baba alipokua kwa chumba chake akasikia yu...
  • VUNJA MBAVU NA PICHA KALI ZA VICHEKESHO ZA LEO...
  • JE WAJUA SIRI YA MAKALIO KWA MWANAMKE?IJUE HAPA
    Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...   Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote ni CON...
  • JE WAJUA NAMNA YAKUMRIDHISHWA MPENZI WAKO PINDI MKIWEPO KATIKA HALI YAKUFANYA TENDO LA NDOA..BOFYA HAPA KUPATA MAUJUZI
    Bila kukosea hakuna jinsia ambayo hainamapungufu yake katika swala zima la mapenzi,udhaifu huu au kasoro hizi mara nying huambatana na ...
  • THAMANI YA MAPENZI YAKO KWA MPENZI WAKO YAKISHUKA LAZIMA UTAAMBIWA MAENENO HAYA....YAJUE MAPEMA
    UNAWEZA  kuambiwa maneno mengi sana kutoka kwa mpenzi wako, mazuri na mabaya lakini yapo ambayo yanatoa taswira isiyo nzuri. Jambo la m...
  • JE WAMJUA MTU MWEMBAMBA KULIKO WOTE DUNIANI?..CHEKI PICHA ZAKE HAPA
  • JE WAJUA MADHARA YA VIATU VYENYE ......... KWA MWANAMKE?BOFYA HAPA KUDODOSWA MENGI
    Kulingana na utafiti wa kitaalamu, mwanamke wa kawaida ana uwezo wa kutembea wastani wa hatua 10,000 kwa siku. Visigino virefu hufanya ngu...
  • JE WAJUA TIBA YA KUSAGIKA NA KUOZA KWA MENO KWA WATOTO WADOGO?BOFYA HAPA KUJUZWA.
    Watafiti wengi wameshindwa kubainisha dhahiri nini usababisha mtu kutafuna au kuuma meno usiku ili inahusishwa sana na minyoo, maambukiz...
  • JE WAJUA NIGERIA NDO NCHI INAYOONGOZA KWA FASHION NZURI ZA NGUO NAKUONGEZA MVUTO KWA MVAAJI WAKIKE?CHEKI HAPA FASHION ADIMU
    PRESS HERE
  • 5 TIPS ON HOW TO TREAT A WOMAN ON A DATE
    Women are hard to impress! Yes truly women are very hard to impress and satisfy. It is really an achievement if a guy can get the comp...

Pages

  • Home

Copyright © stori za bongo | Powered by STORI ZA BONGO
Design by STORI ZA BONGO | Blogger Theme by STORI ZA BONGO | Distributed By STORI ZA BONGO